-->

MAAJABU YA SAYANSI YAENDELEA,SASA WAWEZA CHAJI SIMU YAKO KWA KUTUMIA PUMZI YAKO KIPINDI UNAPUMUA



NI TECKNOLOJIA YA AJABU ILIYOWEZA KUGUNDULIKA AMABAYO MTU ANAWEZA KUCHAJI SIMU YAKE KIPINDI AMELALA KWANI KILA PUMZI ANAZOVUTA NA KUTOA MASHINE AMABAYO ATAKUWA MAEIFUNGA MAENEO YA PUANI ITABADISH ZILE PUMZI KUWA NISHATI YA UMEME ITKAYOWEZA KUCHAJI SIMU YAKE PASINA TATIZO LOLOTE.MTUMIAJI WA CHARGER HIYO ANAWEZA AKAITUMIA HATA KIPINDI ANAFANYA MAZOEZI KAMA VILE KUKIMBIA,AU KIPINDI UNATEMBEA AU WAKATI UNAPANDA MLIMA.MGUNDUZI WA TEKNOLOJIA HII ANAITWA João Paulo Lammoglia AMBAE ALISHINDA TUZO YA Best of 2011 RedDot Design Award KWA HIYO AIRE MASK.JE NINI MAONI YAKO KUHUSIANA NA TEKNOLOJIA HII YA AJABU NA KUSHANAGAZA
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment