Kenya ilikua kimya kidogo baada ya uchaguzi mkuu kuisha lakini kwa sasa
inamake headline sana katika vyombo vya habari hasa katika nchi za
afrika mashariki. Tukio lililoifanya kuandikwa sana katika mitandao ni
kutokana na wanawake 12 pamoja na raia mmoja kutoka anayetokea nchini
Uswiss kunaswa na polisi wakifanya mapenzi na mbwa huku wakichukuliwa
video.
Habari tulizozipata kutoka vyanzo mbalimbali ni kua
mzungu huyo alikua akiwalipa wakina dada hao kiasi cha sh 3000 za kenya
ili kufanya mapenzi na mbwa huyo huku wakichukuliwa video.
mzungu na watuhumiwa wenzake wakiwa mahakamani |
hii ni picha ya mtuhumiwa akiwa nchini kwao |
Inadaiwa kwamba siku za hivi karibuni kumekua na utitiri wa raia wa
kigeni kuingia nchini kenya na kutafuta wadada hasa wanafunzi wa kufanya
na ngono na hat kuwafanyisha ngono na mbwa kama ilivyotokea katika
tukio hili. Baada ya polisi kuwafatilia kwa mda mrefu hatimaye siku ya
siku ikafika na hatimaye kuwakamata wadada 10 na mwanaume huyo wakiwa
katika nyumba moja huko kenya katika lilitokea katika mtaa wa kifahari wa Nyali, jijini Mombasakenya.
0 comments :
Post a Comment