MAMBO 5 UKIYAFANYA UTAKUWA MWENYE AFYA DAIMA
1.Kufanya mazoezi japo dk 20 kila siku
2.Kula nafaka kamili
>ukosefu wa nafaka husababisha,usingizi usio isha,mfano ukiangalia
watu wengi kwenye daladala wanalala,uchovu na uzee mapema.
3.Kula mboga mboga na matunda kila siku,kiafya unatakiwa kula matunda aina 5 na mboga mboga aina 7 kila siku.
4.Kula protein ya kutosha,
protein imegawanyika ktk makundi mawili,PROTIN A,na PROTIN B,
protein A hupatikana kwenye mboga jamii ya kunde,na PROTEIN
B,hupatikana kwenye nyama,lkn ulaji wa nyama huleta madhara ya mifupa na
saratani kwa wanawake,hakuna nyama mbaya kama nyama ya kuchoma,kumekuwa
na ongezeko kubwa la watu kupata kansa ya ziwa kwa sababu ya kupenda
mishikaki,nyama ya kuchoma inamadhara.
5.Ulaji kwa kiasi kidogo mafuta na sukari
Ulaji wa sukari kupita kiasi unasababisha magonjwa kama
a)Kisukari
b)Presha
c)Ukoesefu wa nguvu za kiume unaosababishwa na kuganda kwa mafuta
kwenye mishipa ya damu,wanaume wengi wamekuwa wakikimbilia kwa waganga
kupata tiba ya nguvu za kiume kumbe tatizo liko kwenye damu,hivyo
hawataweza kupona lkn usijali solution imepatikana,
Pia epuka
kumwambia muuza chips akuchemshie chips kwani kuchemsha maana yake ni
kuchukuwa mafuta na kuweka kwenye mwili wako,matokeo yake ni mwanamke
kuota kitambia na mwanaume kupata ugonjwa wa nguvu za kiume.
Ukosefu wa nguvu za kiume,nguvu za kike,presha au kisukari unaweza kuzuia wewe mwenyewe.
jiadhari kwani magonjwa hayo ni hatari lkn kwa wewe ambae tayari
umeshaathirika wasiliana na 0715448643 utapata solution kwa tatizo lako
kwa wewe ambae hujaathirika basi fanya hayo utakuwa salama daima au
tembelea http://bit.ly/164gTxd
About Omari Makoo
0 comments :
Post a Comment