-->

SHUHUDIA PICHA YA UJENZI WA DARAJA KIGAMBONI JINSI UNAVYOENDELEA

KIA SASA

Mafundi wa kampuni ya MBEC ya China wakiendelea kusuka nondo za daraja litakalo unganisha kigamboni na jiji la Dar es salaam kwa upande wa kurasini. Daraja hilo linajengwa kwenye bahari ya hindi na litakamilika mwaka 2015.

CHANZO: MWANANCHI
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment