TATHMINI YA TUKIO.....
1. Siku ya Pili ya Tukio walokufa 68( Ole lenku waziri wa mambo ya ndani).Red Cross 69,Siku ya tatu Idadi ikashuka walokufa ni 62,Siku ya 4 walokufa 61(Rais kenyata)
2. Katika Historia kwa mara ya kwanza Mkuu wa Polisi,Mkuu wa Majeshi ya Kenya na
Waziri wa Mambo yandani wakihutubia Taifa huku wakiwa wanalindwa nyuma na ulinzi mkali wa Jeshi kuionesha Media vipi walivokuwa makini na Tukio.
3. Waziri wa Mambo ya Ndani katika magaidi walioshambulia hakuna mwanamke,...Waziri wa Mambo ya Nje yupo mwanamke aliehusika na anaitwa Samantha Lew.
4. Magaidi idadi yao 10-15....Siku ya Pili tushawaua 2,Siku ya tatu tushawa ua 6, siku ya 4 tumeua magaidi 5,siku ya nne hiyo hiyo uporesheni ya westgate imemaliza haya magaidi wengine wako wapi walobakia 10....?
5 Siku ya 3 na 4 Vikosi vyetu vya ulinzi vya KDF visha control jengo lote la west gate,swali sasa hao magaidi waliokuwa wanapigana nao wako wapi njee na hizo risasi zinazolia zinatokea wapi....?
6. Siku ya 3 Walotekwa nyara wote tushawaokoa....sasa wako wapi hawana sehemu ya kuishi na mliwambia wasiseme kama mumewaokoa mbona hawakuoneshwa...?
7. Siku ya 3 Baada ya Vikosi vya Usalama na Jeshi la Kenya kuli control jengo lote sasa walikuwa wakipigana na nani..Siku ya 2 tushaikamata ghorofa ya 2,3.Sasa ule moto ghorofa ya kwanza umeashwa vipi...?
HII NI NUKUU KUTOKA UAMSHO HALISI TIMELINE
0 comments :
Post a Comment