Mwanakijiji mmoja (45) mkoani LINDI wilayani NACHINGWEA katika kijiji
cha LIONJA ameuwawa kinyama na simba wakati akielekea shambani alfajiri
kwenda kuangali korosho, wakati akielekea shambani ndipo aliposhambuliwa
na simba hao wawili.
Kabla ya tukio hilo simba hao walikuwa wakishambulia mbwa katika kijiji hicho, Tukio hilo lilitokea siku chache zilizopita.
MUNGU ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi..AMEN
Wanakijiji wakitaharuki baada ya kuona mwili wa marehemu....
0 comments :
Post a Comment