-->

HATMA YA DHAMANA YA SHEKH PONDA KUFAHAMIKA KESHO

Baada ya kesi ya Shekh Ponda wiki mbili zilizopita kusomwa huku mwenyewe akiwapo mahakamani hapo na Hakimu wa kesi kushindwa kutoa maamuzi dhidi ya dhamana ya Shekh Issa Ponda kutokana na kuwepo kwa hoja kutoka kwa wakili wa serikali na wakili wa Shekh Issa Ponda kuhusu swala la dhamana ya Shekh Ponda,Hakimu wa kesi alIiamua kuahirisha swala hilo la dhamana na kuahidi kwamba tarehe 17 ya mwezi wa 9 mwaka 2013 ndio itafahamika kuhusu dhamana ya Shekh Issa Ponda kama atapewa dhamana au la.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment