USAHIHI
UPO HIVI:
Zitto Kabwe hajakwenda Mahakani kuzuia ubunge wake wala
kuzuia kuvuliwa uanachama wake.
Zitto amekwenda mahakamani kuizuia
kamati kuu ya CHADEMA kumjadili mpaka hapo litakapoitishwa baraza kuu la
chama.
Tayari
kamati kuu wameshamtia hatiani Zitto kwa makosa hayo hayo na kumvua
nafasi zake zote za uongozi ndani ya chama, hivyo kamati kuu hiyo hiyo
haiwezi tena kumjadili mtu kwa makosa hayo hayo.. ndio maana Zitto
amekata rufaa Baraza Kuu la Chama.
0 comments :
Post a Comment