Naibu Katibu Mkuu CCM Bara na Naibu Waziri wa Fedha,Hii leo ameungana na Wananchi wa Kigamboni kwenye Mazishi ya aliyekuwa Mjumbe wa NEC wa CCM Taifa Marehemu Rukia Ally Msumi aliyefariki Hospitali ya Taifa Muhimbili Tar.20.01.2014.
Akiwakilisha
Chama Cha Mapinduzi Mh.Mwigulu Nchemba ametoa rambirambi kutoka CCM
Mkoa wa Pwani,CCM Mkoa wa Dsm na CCM Makao Mkuu,Pia ameelezea kuwa
Marehemu enzi za Uhai amekuwa Mwanachama mtiifu wa CCM na ameshika
nyadhifa mblimbali za Uongozi ndani ya Chama ukiwao Udiwani miaka 10.
Mungu aipumzishe Roho ya Marehemu Mahali Pema Peponi
AMINA.
0 comments :
Post a Comment