Hii ni ripoti ya tafiti iliyofanywa na kituo kinachofahamika kwa jina la University of Michigan Institute ambako nchi saba zilihusishwa katika tafiti hiyo yaani Tunisia,Misri,Uturuki,Iraqi,Lebanon,Pakistan pamoja na Saudi arabia.Tafiti hiyo iliitimisha kwamba wanawake wengi wa nchi zenye waislam hupendelea kuvaa hijabu ya kitamaduni(yaani ya kuacha wazi eneo la sura)na sio ile ya kufunika uso wote(burka)
READ MORE IN DAILYMAIL
READ MORE IN DAILYMAIL
0 comments :
Post a Comment