*****MATAPELI WAIBUKA UPYA -CHUKUA TAHADHARI ********
Zitto Kabwe"Narudi tena, Sihusiki na mfuko wa mikopo unaotangazwa kupitia Mitandaoni. Sijaanzisha ZittoKabwe Foundation. Puuzeni watu wanaotangaza mikopo kwa jina langu. Nimejulisha tena vyombo vya dola suala hili ili kukamata matapeli wanaotumia jina langu kuibia Watanzania.
Wanatumia akaunti feki cc picha"
BOFYA HAPA CHINI KUIPENDEKEZA BUSTANI YA HABARI KUWA BLOG BORA YA MWAKA AFRIKA
WEBLOG AWARDS 2014
0 comments :
Post a Comment