Shomali Mswagala mchezaji wa zamani wa timu ya Jabal hira, timu ambayo ilikuwa ikishiri mashindano ya daraja la tatu na la pili miaka ya nyuma.Shomali Mswagala amekuwa mchezaji nyota kwenye ligi ya michangani na kuwa kivutio kizuri sana katika mashindano hayo.
Shomali Mswagala alipata tuzo ya mchezji bora akiwa katika shule ya sekondari ya Jabal hira.Pia amecheza na mastaa wengi sana wa soka ambao kwa sasa wanatamba kwenye ligi kuu....Kama vile Shomali Kapombe,Jamali Mnyate,Salumu Machaku na wengine kibao.
BUSTANI YA HABARI inatoa wito kwa wadau wa soka kufuatilia kwa karibu uwezo kijana huyu mwenye uwezo wa kucheza namba 9 na 10 na kuweza kumpatia nafasi ya kuweza kuonyesha kiwangi chake katika ligi ya Vodacom.Shomali Mswagala mmoja wa wachezaji 30 wa timu ya Jabal hira ambayo ilishindwa kupanda daraja mwaka 2008 baada ya kutoa suruhu katika mechi ya mwisho iliyochezeka Jamhuri ambayo Jabal hira walikutana na Manyema fc na mechi hiyo ili Jabal hira ipite ilitakiwa ishinde ushindi wa aina yoyote ili iweze kupanda daraja ila bahati haikuwa kwao kwani mpaka filimbi ya mwisho inapigwa matokeo yalikuwa 1-1.Kikosi cha Jabal hira kilikuwa na Patrick Edo,Shomali Mswagala,Jamali Mnyate,Salumu Mnyate,Aziz pamoja mastraika kibao ambao wengi wao wapo ligi kuu kwa sasa
Shomali Mswagala akiwa katika viwanja vya Saba sabaJamali Mnyate akiwa katika jezi ya Mtibwa sugar katika pambano dhidi ya Azam fc
Salum Machaku mchezaji wa zamani wa Simba na Mtibwa sugar

0 comments :
Post a Comment