Leo asubuhi basi la abiria la
kampuni ya Mtei toka Arusha
limechomwa moto na wananchi
wenye hasira maeneo ya Njia panda
Mnadani, mkoani Singida baada ya
bus hilo kugonga pikipiki yaani
bodaboda na kuua watu watatu hapo
hapo. Zifuatazo ni taswira za basi
hilo lililokuwa wakati na baada ya
kuchomwa moto

kampuni ya Mtei toka Arusha
limechomwa moto na wananchi
wenye hasira maeneo ya Njia panda
Mnadani, mkoani Singida baada ya
bus hilo kugonga pikipiki yaani
bodaboda na kuua watu watatu hapo
hapo. Zifuatazo ni taswira za basi
hilo lililokuwa wakati na baada ya
kuchomwa moto



CHANZO:JOHN NGASA
0 comments :
Post a Comment