-->

RAISI JAKAYA MRISHO KIKWETE ALISOMA SEMINARY KWA KUTUMIA JINA LA SAMWEL LUHANGA

Kwa mujibu wa Dr Kasoga mhadhiri wa chuo kikuu cha Bagamoyo aliyealikwa katika kipindi cha malumbano ya hoja kinachorushwa na ITV .
Jakaya Kikwete

Alisema Rais Kikwete alisomea shule za seminari na kutumia jina la Samwel Luhanga na baadaye ndipo akatumia jina la Jakaya Mrisho Kikwete. Tuna mengi ya kujifunza.
Inasemekana Raisi Jakaya Mrisho Kikwete alisoma shule ya middle school katika st john bosko ambayo leo hii ni Lugoba secondary akitumia jina hilo kutokana na ugumu wa kupata nafasi ya kusoma kwenye shule za kikristu ikiwa wewe ni muislam.Hivyo mbinu hiyo aliyoitumia Raisi Jakaya Kikwete ilimfanya aweze kupata elimu huku kundi kubwa la waislam wasiobahatika kuvumbua mbinu hiyo wakibakia solemba pasina elimu.
Mbinu hiyo ya kubadlisha jina ili uweze kusoma kwenye shule za seminary ilitumiwa hata na Kigoma Malima.

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment