PICHA NA MAKTABA.
Habari
zilizotufikia hivi punde kutoka visiwani zanzibar zinasema boti ya
Kilimanjaro II iliyokuwa
ikitoka Pemba kuelekea Ugunja inasemekana imepingwa na dhoruba kali na
kunusurika kuzama eneo korofi baharini lenye kina kirefu la Nungwi
baada ya injini zake zote kushindwa kufanya kazi ambapo baadhi ya abiria
inasemekana walijitosa baharini na inadaiwa kuna uwezekano mkubwa kuna
watu wamepoteza maisha katika tukio hilo.
CHANZO:MCHOME BLOG
0 comments :
Post a Comment