-->

JUAN MATA ATUA MANCHESTER UNITED KWA HELIKOPTA,WACHEZAJI WA MAN U WAJITOKEZA KUMLAKI

Mata set to join Man Utd
Juan Mata alitinga Carrington akiwa ndani ya helikopta tayari kuweza kusaini kuichezea kuichezea klabu ya Manchester united kwa ada ya uamisho wa sh 37mil.Jioni ya leo hii inasemekana kuwa mchezaji huyo wa zamani wa timu ya Chelsea alifanyiwa vipimo katika klabu ya Manchester united
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment