-->

ZITTO KABWE AIBUKA MSHINDI KWENYE KESI YAKE,TIZAMA PICHA JINSI TUKIO ZIMA LILIVYOKUWA


MH ZITTO KABWEKUPITIA WAKIL WAKE ALBERT MSANDO AMEWEZA KUSINDA KESI YAKE NA HIVYO SASA NI MARUFUKU KWA KAMATI KUU CHADEMA KUJADILI UWANACHAMA WA ZITTO KABWE MPAKA PALE TARATIBU ZA MSINGI ZA KICHAMA ZITAKAPOFUATWA PASINA UBABE WALA UPENDELEO
                                                                         Wadau wa Chadema
 Zitto akiwasili mahakamani

 wadau wa Zitto Kabwe
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment