-->

HII HAIJAWAHI TOKEA,MTIHANI WASIMAMIWA NA NDEGE ZISIZO DEREVA(DRONES)HUKO UBERIGIJI

Ndege isiyo na rubani (drone) yatumika kusimamia mitihaniShule moja ya nchini Ubelgiji imeamua kutumia ndege isiyo na rubani (drone) kusimamia mitihani baada ya kushindwa mbinu za kawaida kuwazuia wanafunzi kufanya udanganyifu katika mitihani yao.

Ndege hiyo ina kamera ya kuchukua picha za video pamoja na kurekodi harakati yoyote inayotia wasiwasi kutoka kwa mwanafunzi yeyote yule na kurusha moja kwa moja kwenye TV moja kubwa, harakati yoyote ile isiyo ya kawaida ya wanafunzi.

Ingia hapa kuona video ya ndege hiyo inapokuwa kazini darasani
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment