-->

SANAMU YA NELSON MANDELA YATIWA KASUNGURA SIKIONI NA ALIYEIITENGENEZA

sungura

Msanii aliyetengeneza sanamu la Nelson mandela huko south africa ameingia kwenye matatizo makubwa, baada ya serikali hiyo ya south African kugundua kwamba kwenye sikio la sanamu hilo kuna kasungura kadogo, kama inavyo onekana kwenye picha. Serikali hiyo imeamuru kasungura hako katolewe haraka kwani haileti picha nzuri au maana yoyote kuwepo na kitu kama hicho.

 
Msanii huyo aliomba radhi kwa kutuma email kadhaa kwa serikali, lakini hakuna iliyojibiwa, baadae alipewa msamaha ila pia alijibu makosa kwanini aliamua kuweka kitu kama hicho kabla ya kutoa taarifa kwa serikali na pia kutoa maana yake
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment