-->

AJALI YAPOTEZA MAISHA YA WANAFUNZI WATANO,HUKU WENGENE 20 WAKIWA MAJERUHI


WANAFUNZI WATANO WAFARIKI DUNIA KWA KUGONGWA GARI WAKATI WAKIKIMBIA MCHAKAMCHAKA HUKO MTWARA.
 
Wanafunzi wanne Wa shule ya sekondari Mustapha Sabodo mjini Mtwara wamekufa na wengine zaidi ya 20 kujeruhiwa Vibaya baada ya kugongwa na gari aina ya Benz wakiwa kwenye mchakamchaka asubuhi ya leo.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment