Tarehe 18/1/2014 inatarjiwa kufanyika kwa tamasha kubwa la kazi za wanafunzi wa vyuo vikuu likiwa chini ya kikundi cha wajasilia mali.Wanafunzi wa vyuo vikuu watapata nafasi ya kuonyesha kazi zao mbali mbali ambazo zitaweza kuwawezesha kujiajili wenyewe pasina kutegema kuajiliwa.
Vyuo vinne tayari vimekwisha tangaza kushiriki kwao katika tamasha hilo ambalo litafanyika katika ukumbi wa SAVOY mkoani Mororgoro
MUDA; kuanzia muda wa saa nne mpaka saa sita.
Vyuo vitakavyoshiriki ni;
MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO,MZUMBE UNIVERSITY,JORDAN UNIVERSITY NA SOKOINE UNIVERSITY OF AGRICULTURE.
MGENI RASMI;Mgeni rasmi kwenye Tamasha hilo atakuwa ni mkuu wa mkoa wa Morogoro Mh John Bendera ambae atafungua tamasha hilo,Pia kwa umbande wa wageni waalikwa atakuwepo kipenzi cha wananchi wa mkoa wa Morogoro Mh Abdul aziz Abood mbae ni mbunge wa mkoa wa Morogoro.
Tamasha hilo ni bure,Hivyo wananchi pamoja wanafunzi wote wa vyuo vikuu pamoja na vyuo vya kati wanaalikwa kuhudhuria tamasha hilo ili kujifunza stadi mbali mbali za maisha kupitia kazi mbali mbali za wanafunzi wa vyuo vikuu.
USINGOJE KUAJILIWA WAKATI KUJIAJILI INAWEZEKANA

0 comments :
Post a Comment