Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake. Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mh.SAID
BWANA MDOGO amefariki dunia mapema leo baada ya kuugua kwa muda
mrefu.Tunawaombea mungu awape nguvu ndugu Jamaa na marafiki katika
kipindi hiki kigumu kwao.
0 comments :
Post a Comment