-->

IDDDY KIPANDU"IDDY BONGE" KUPAMBANA MACH 23 YA MWAKA 2014

Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kushoto akimwelikeza jinsi ya kupiga ngumi bondia Iddi Kipandu 'Iddy Bonge' wakati wa mazoezi yanayoenderea kwa ajili ya mpambano wake wa march 23 na David Mwakasanga utakaofanyika ukumbi wa frends corner Manzese mazoezi hayo  katika klabu ya biafra iliyopo kigogo mburahati Dar es sa

Kocha wa mchezo wa ngumi Kwame Mkuluma kulia akimwelikeza jinsi ya kupiga ngumi bondia Iddi Kipandu 'Iddy Bonge' wakati wa mazoezi yanayoenderea kwa ajili ya mpambano wake wa march 23 na David Mwakasanga utakaofanyika ukumbi wa frends corner Manzese mazoezi hayo 
 katika klabu ya biafra iliyopo kigogo mbulahati Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment