-->

MSHUHUDIE DOGO MWENYE UWEZO KAMA WA LIONEL MESSI KWENYE VIDEO HII

Dogo anaitwa Claudio Nancufil mwenye umri wa miaka nane,ambaye anaishi Andes Nchini Argentina,anaonekana kuwa na kipaji sawa na yule Lionel Messi wa Barcelona akiwa anatumia mguu wa kushoto.Hebu jionee mwenyewe hapo chini....

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment