Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akimnadi Mgombea Ubunge katika Uchaguzi
Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati wa Mkutano wa
kufunga Kampeni za CCM,zilizofanyika jioni ya leo kwenye Uwanja wa
Shule ya Sekondari ya Kikaro,Miono ndani ya Jimbo la Chalinze.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya
Sekondari ya Kikaro,Miono ndani ya Jimbo la Chalinze,tayari kwa kufunga
Kampeni za CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze.
Mgombea
Ubunge katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya
Kikwete na Mkewe Bi. Arafa Kikwete wakiwapungia mikono wananchi wa Jimbo
la Chalinze waliofurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari
ya Kikaro,Miono ndani ya Jimbo la Chalinze wakiwasili kwa ajili ya
kufunga Kampeni za CCM kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akisalimiana na Mgombea Ubunge katika
Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete wakati
alipowasili kwenye Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Kikaro,Miono ndani ya
Jimbo la Chalinze,leo April 5,2014 tayari kwa kufunga kampeni za
CCM.Kulia ni Mke wa Ridhiwani Kikwete,Bi. Arafa Kikwete.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Serikali ya Mapinduzi
Zanzibar,Dkt. Ali Mohamed Shein akibadilishana mawazo na Mgombea Ubunge
katika Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Chalinze,Ridhiwani Jakaya Kikwete
wakati wa kufunga Kampeni za CCM,zilizofanyika jioni ya leo kwenye
Uwanja wa Shule ya Sekondari ya Kikaro,Miono ndani ya Jimbo la Chalinze.
Umati
mkubwa wa wananchi wa Kijiji cha Kikaro,Kata ya Miono ndani ya Jimbo la
Chalinze wakiwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Shule ya
Sekondari ya Kikaro,Miono ndani ya Jimbo la Chalinze,leo tayari kwa
kufunga kampeni za CCM.Picha zote na Othman Michuzi.
0 comments :
Post a Comment