KISA CHENYE MAFUNZO(VOL 11)
Kijana mmoja ambae alikuwa mpole na mkarimu na mtu mwenye hurma sana.Siku mmoja alikuta yai la kipepeo kikiwa katika harikati kutotolewa.
Mtoto wa kipepeo akiwa ndani ya yai alionekana akipata shida kutoka nje ya yai,Hivyo kijana yule alipoona hivyo alihisi huruma na kuamua kumsaidia kwa kulipasua lile gamba la yai na kumasaidia kutoka.
Cha ajabu yule mtoto wa kipepeo alishindwa kuruka kabisa katika maisha yake,Kumbe M/Mungu alitengeneza mfumo rasmi kwa viumbe hivyo kupata ugumu huo wakati wa kutotolewa ili atakapotoka aweze kujitegemea kwa kuruka na kujitafutia chakula.Maskini kipepeo yule alikuwa tegemezi kwa wengine na kushindwa kuruka maisha yake yote.
FUNZO:Tunapopata ugumu kwenye maisha yetu basi ujue hiyo ni njia ya kukufanya kuwa imara na kuweza kujitegemea kwenye maisha yako,kaza buti songa mbele.

0 comments :
Post a Comment