Emmanuel Okwi akisubiri wapambe wake waliombebea mizigo huku simu ikiwa sikioni akiongea na mtu.
MCHEZAJI wa timu ya Yanga, Emmanuel Arnold Okwi, jana usiku alipanda ndege na kuondoka kwenda kwao nchini Uganda.
Mchezaji huyo alifika uwanjani hapo majira ya saa moja usiku akiwa ameongozana na wapambe wake ambao hawakutambulika majina yao mara moja.
(Picha/habari: Shakoor Jongo /GPL.)
Wapambe (nyuma) na Okwi akiwa mbele wakielekea ndani ya uwanja wa ndege sehemu ya abiria wanapopumzika.
Mwandishi
wa gazeti la Mwanaspoti, Khatimu Naheka, akimbembeleza Okwi aongee naye
lakini mchezaji huyo aligoma akimwambia hataki kuongea naye chochote.
Mchezaji huyo alifika uwanjani hapo majira ya saa moja usiku akiwa ameongozana na wapambe wake ambao hawakutambulika majina yao mara moja.
(Picha/habari: Shakoor Jongo /GPL.)
0 comments :
Post a Comment