-->

SOMA MAONI YA MWANA CCM KWA NINI ANAAMINI KWENYE SERIKALI MBILI



Post by Hassan Bomboko.
Ukiwa Na wake wawili wanakusumbua jibu sio kuongeza mwingine ni wake zako kaa nao maliza tofauti zenu katika ndoa.. Watatu sio suluhu ya kumaliza matatizo yenu....

Kimsingi Hatutokubali kuona vikundi vya watu wachache wanatumia vibaya kodi za walalahoi na wavuja jasho kuligawa taifa letu vipande vipande Tutafanya kila namna kuulinda na kuuenzi Muungano wa serekali Mbili....
Wakisusa refferendum itawahukumu.'
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment