Mzungu
aliyekuwa anatafutwa na Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam
kwa kutuhuma za kuwatapeli wananchi kwa Euro Feki hatimae amekamtwa
kikomandoo akijaribu kununua gari kwa pesa hizo feki.

Habari za uhakika zilizotua mezani zilisema mzungu huyo ambae ni Raia wa South Africa aliyeahamika kwa jina la JAN ELOFF oambae anaishi maeneo ya Msasani Jijini Dar.
Baada ya tukio hilo la kutapeliwa mwanahabari huyo Jeshi la Polisi lilitangaza msako mkali wa kumtafuta mzungu huyo ambae alikuwa akishirikiana na wadada wawili ambao ni araia wa Cameroon na Nigeria pamoja na mwanaume wa kitanzania ambao baada ya tukio la kukatwa mwenzao wanaendelea kutafutwa usiku na mchana na tayari ameshawataja wenzake anaoshirikiana nao.ananchi wengi wamempongeza Kamanda Kova kwa kufanikisha kukamatwa mzungu huyo.
Hata hivyo Jeshi la Polisi Kinondoni limetoa rai kwa mtu yeyote ambae amewahi kupigwa na mzungu huyo basi wafike haaka kituo cha polisi Oysterbay kwa ajili ya kumtambua mzungu huyo....
0 comments :
Post a Comment