-->

HIKI NDIO KIKOSI CHA ALL STARS KILICHOCHEZA NA YOUNG BOYS,DE LIMA NA ZIDANE WAKIONGOZA SAFU YA WASHAMBULIAJI

Nyota: Kikosi cha All-Star kilichocheza mechi ya kupiga vita umasikini
Master: ZIdane scored twice in an 8-5 victory over a Young Boys Bern XI
Mtaalamu: Zidane alifunga mabao mawili katika ushindi wa 8-5 dhidi ya Young Boys Bern XI
Skipper: Ronaldo has a strike at goal
Nahodha: Ronaldo akifanya vitu vyake

KIKOSI CHA KWANZA CHA ALL STARS YA SHIRIKA LA UMOJA WA MATAIFA MRADI WA MAENDELEO

Antonios Nikopolidis (Ugiriki)
Michel Salgado (Hispania), Fernando Hierro (Hispania), Fabio Cannavaro (Italia), Paolo Maldini (Italia), 
Luis Figo (Ureno), Zinedine Zidane (Ufaransa), Gennaro Gattuso (Italia), Pavel Nedved (Jamhuri ya Czech)
Ronaldo (Brazil), Davor Suker (Croatia)

MAGWIJI wa soka, Zinedine Zidane na Ronaldo kwa mara nyingine waliungana katika All-star kucheza mechi ya kupiga vita umasikini.
Sasa ni mwaka wa 11, Zidane na Ronaldo waliungana na nyota kama Fernando Hierro, Paolo Maldini, Pavel Nedved na Luis Figo.
Walimenyana na Young Boys mjini Bern, kikosi cha Zidane kikaibuka na ushindi wa mabao 8-6, shukrani kwake mshindi huyo wa Kombe la Dunia na Ufaransa kwa kufunga mabao mawili.
Mshambuliaji wa zamani wa Borussia Dortmund na Uswisi, Stephane Chapuisat aliyekuwa Nahodha wa timu ya Young Boys iliyowajumuisha Hakan na Murat Yakin, alifunga mabao matatu peke yake kipindi cha kwanza, akimtungua vizuri Antonios Nikopolidis.
Kocha wa timu ya Zidane, Rais wa UEFA, Michel Platini, aliwapa mawaidha mazuri wachezaji wake wakati wa mapumziko na kipindi cha pili wakarejea na moto hadi kushinda.
Mwanasoka Bora wa Dunia wa kike mara tano, Marta aliingia kipindi cha pili na kwenda kufanya kazi nzuri akiwatengenezea nafasi za kufunga Zidane na baadaye Christian Vieri.
In the dugout: Michel Platini took charge of Zidane and Ronaldo's team
Michel Platini alikuwa kocha wa timu ya akina Zidane na Ronaldo
Brace: Former Bolton midfielder Youri Djorkaeff scored twice
Mawili: Kiungo wa zamani wa Bolton, Youri Djorkaeff alifunga mabao mawili
On the run: Ronaldo seems to be puffing as he looks to take the ball past opponent Alain Rochat
Mbio mtindo mmoja: Ronaldo akimtoka Alain Rochat
Impact: Five-time Women's World Player of the Year Marta set up two goals
Mkali: Mwanasoka Bora wa kike mara tano wa FIFA, Marta alipika mabao mawili

Kisha Vieri akafunga bao lake la pili kabla ya mvua mabao kutkapande zote hadi magwiji wakaachwa kwa 5-3.
Baadaye wakazinduka na kiungo wa zamani wa Bolton, Youri Djorkaeff akafunga mawili moja baada ya gonga safi kati yake na Zidane zilizowaduwaza mabeki wa Young Boys.
Hakan Sukur, aliyechezea kwa muda Blackburn Rovers, pia alifunga kabla ya Zidane kufunga bao lake la pili usiku huo kwa penalti.
Zinedine Zidane
Nyota mwingine wa zamani wa Rovers, Nuno Gomes, pia alifunga mechi hiyo ikiisha kwa magwiji kushinda 8-5.
Wachezaji wengine wenye majina makubwa usiku wa jana ni pamoja na mshambuliaji wa zamani wa Arsenal, Davor Suker, kiungo wa Milan, Gennaro Gattuso na winga wa Liverpool na Real Madrid, Steve McManaman
Share on Google Plus

About Unknown

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment