Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali mmoja wa baadhi ya abiria
waliokwama baada ya barabara ya Chalinze-Dar es Salaam kuharibiwa vibaya
na mafuriko
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa pamoja na Mkewe Mama Salma Kikwete na
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mwantumu Mahiza wakikagua athari za mafuriko
zilizoharibu vibaya barabara ya Chalinze- Dar es Salaam eneo la Ruvu
Darajani leo.Mamia ya abiria walikuwa wamekwama kutokana na mafuriko
hayo
Rais
akisalimiana na mwanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Bwawani iliyopo
Mkoani Pwani wakati alipotembelea eneo la Ruvu lililoathiriwa na
mafuriko leo.
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Mke wa Rais Mama Salma Kikwete,Mkuu wa Mkoa wa
Pwani Mwantumu Mahiza na Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete wakikagua
athari za mafuriko maeneo ya Ruvu Darajani na Visiga
Picha na Freddy Maro.
0 comments :
Post a Comment