Viongozi
wa UKAWA wakiwa katika mkutano na Waandishi wa habari katika ukumbi wa
hoteli ya Mzsons Shangani Zanzibar baada ya mkutano wao kuahirishwa na
jeshi la Polisi Zanzibar kwa sababu za kiusalama .
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wakiwa katika ukumbi wa mkutano na Waandishi wa habari wa vyombo mbalimnali viliko Zanzibar.
Mwenyekiti
wa Chama cha CUF Mhe. Profesa Lipumba akizungumza na waandishi wa
habari kuhusiana na kutoka kwa Wajumbe wa UKAWA kutoka Vyama vya
Upinzani Wanaohudhuria Bunge Maalum la Katiba
Mwenyekiti
wa CHADEMA, Mhe. Freeman Mbowe, akizungumza na waandishi wa habari
sababu za kutoka katika bunge maalum la katiba Tanzania.akisisitiza
jambo katika mkutano huo uliofanyika ukumbi wa hoteli ya Mazsons
shangani Zanzibar.
Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Mhe. James Mbatia akizungumza na waandishi katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons Zanzibar.
Baadhi wa Wajumbe wa Bunge la Katiba wakimsikiliza Kiongozi wa UKAWA
Mhe. Profesa Ibrahim Lipumba akizungumza na waandishi wa habari katika
ukumbi wa hoteliya Mazsons ukumbi wa mlingoti.
Baadhi wa
Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba wa UKAWA waliotoka katika Kikao cha
Bunge hilo wakiwa katika ukumbi wa hoteli ya Mazsons Shangani Zanzibar
wakizungumza na waandishi wa habari.
0 comments :
Post a Comment