TV Imaan tayari imefanya mkataba
na StarTimes ili kurushiwa
matangazo yake kwa mikoa sita.
Mikoa hiyo ni Dodoma, Morogoro,
Arusha, Mwanza, Mbeya, Dar es
Salaam.
Mkataba huo utagharimu Milioni Mia
Mbili ishirini na tatu na laki nane,
223,800,000/= kwa mwaka.
Mikoa mingine wanaweza kuipata
kwa njia ya Satelite.
Satellite...Intelsat 906 64 E
Frequency...4069
Symbol Rate...2500
Polarization...Vertical
Karibu sana TV Imaan elimu kwa
Umma.
Home
/
habari za kitaifa
/
BREAKING NEWS TV IMAAN WAMEJIUNGA NA KINGA'MUZI CHA STAR TIMES KWA SHILINGI 223,800,000
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment