Katika
mchezo wa Simba na Yanga Ambao wametoka droo kwa kufungana moja kwa
moja palitokea kituko ambacho kimewaacha wengi huo...Kama Kawaida yake
Ivo Mapunda akiwa langoni Huwa anakuwa na Taulo kubwa Jeupe la kujifutia
Jasho Ambalo hulininginiza Kwenye Nyavu za Goli ..Leo Mchezaji Didie
Baada ya Yanga kukosa Goli langoni Hapo aliamua kulichukua Taulo hilo na
Kukimbia Nalo na kulitupa kwa Mashabiki .
..Kwa kile kinachodaiwa ni Ndumba inayozuia Yanga Wasifunge....Ilibidi
mchezo usimame kwa muda baada ya kuanza kushikana mashati kuhusu hilo
taulo, Mwishowe Taulo lilirudi kwa Ivo Mapunda na Mchezo Kuendelea....
WATANI WA JADI
SHABIKI ALIECHUKUA TAULO LAKIPAWA SIMBA IVO MAPUNDA SASA ANAJITAYARISHA KULILUSHA KWA MASHABIKI WA YANGA |
SHANIKI WA YANGA BADA YA KUFANIKIWA KUIBA TAULO YA KIPA WA SIMBA IVO MAPUNDA AKIWA CHINI YA ULINZI MKALI |
SHABIKI HUYO BADA YA KULICHUKUA AKIELEKEA KWA MASHABIKI HUKU AKIANGALIA KULIA KAMA KUNA POLISI |
SHABIKI HUYO BAADA YA KULICHUKA TAULO LA KIPA WA SIMBA IVO MAPUNDA ANAWAPEKEA MASHABIKI WA YANGA NA KUWATUPIA TAULO HILO |
MASHABIKI WA SIMBA WAKIONYESHA PICHA YA KIATU CHA DHABU AMBAYE MCHEZAJI WAO HAMIS TAMBWE NDIYE ANASTAHILI |
UTATOKA AMA VIPI |
MAPOLISI WAKIMUWEKA KATIKA ULINZI NA ATOKE SHABIKI HUYU WA YANGA KUTAKA KULETA RABSHA |
SHABIKI WA YANGA AKITOLEWA NA KUWEKWA KATIKA CHUMBA CHA USALAMA HUKU AKIWA KATIKA ULINZI MKALI |
SHABIKI WA YANGA BADA YA KUFANIKIWA KUIBA TAULO YA KIPA WA SIMBA IVO MAPUNDA AKIWA CHINI YA ULINZI |
DADA HUYU AMBAYE NI SHABIKI WA YANGA ALIZIMIA BADA YA KUANGUKAAKIBEBWA NA MACHELA |
SHABIKI WA YANGA AKITOLEWA NA ASKARI |
SHABIKI WA YANGA ALIEIBA TAULO YA KIPA WA SIMBA GOLINI AKITIMUA MBIO BAADA YA KUWATUPIAMASHABIKI WA YANGA ALIPOFANIKIWA KULICVHUKUA PALE GOLINI |
SIMON MSUVE AKILISHANGILIA BAO LA KUSAWAZISHAKWA MASHABIKI |
MASHABIKI WA SIMBA WAKISHAGILIA |
0 comments :
Post a Comment