-->

MVUA ILIYONYESHA LEO HII YAGEUKA KUWA MAJANGA KATIKA JIJI LA DAR ES SALAAM

Mburahati na Mayfair leo asubuhi.

Tokana na mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbali mbali ya Dar esSalaam, zimepelekea uharibufu wa barabara na mazingira.

Haya ni maeneo ya jiji la Dar es Salaam yaliyoathirika na mvua inayoendelea kunyesha na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wakazi hasa wanaoishi bondeni au kwenye mkondo wa maji mfano mito
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment