Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba,ambaye pia ni Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo, Juma Nkamia (kulia) akijadiliana jambo na Madaraka Nyerere ambaye ni mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere katika viwanja vya Bunge mjini Dodoma leo. Kushoto ni mjumbe wa Bunge hilo, Leticia Nyerere.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema (kushoto) akibadilishana mawazo na wajumbe wa Bunge hilo, Shamsi Vuai Nahodha (katikati) na kulia ni Dk. Tulia Akson mara baada ya kikao cha jana asubuhi.
Baadhi ya
Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Waislamu cha Morogoro wakiwa katika picha ya
pamoja na mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba na mwanasiasa mkongwe, mzee
Kingunge Ngombale Mwiru na mjumbe wa Bunge hilo Juma Njumayo aliyevaa
mewani mweusi(kulia) baada ya mwanasaiasa huyo pamoja na mjumbe wa bunge la katiba Profesa Hamza Njozi,Makam mkuu wa chuo kikuu cha waislam Morogoro.
(Picha na Magreth Kinabo) (FS)
0 comments :
Post a Comment