KISA CHENYE MAFUNZO(VOL 9)
Mke alimdekeza sana mumewe kwa maneno
matamu ,
akimwita mpenzi , habiby , ua la moyo wangu .............,
Mume
aliamua kumzawadia mkewe zawadi ya kumpeleka kufanya ibada ya hajji.
Aliporudi kutoka kuhiji yale maneno matamu alokuwa akimtamkia mumewe aliamua hayatamki tena.
Mume kwa mshangao kamuuliza mkewe mbona umebadilika sana mke wangu siku hizi yale maneno matamu hunitamkii tena ????.
Mke akamjibu , tangu nilivorudi kutoka kuhiji nimeacha kusema uongo.
JE ALIKUWA SAHIHI KUACHA KUITA HIVYO???
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment