Kwa taarifa iliyowasilishwa kupitia ITV kutokana na kupinduka kivuko hicho watu wawili wamethibitika kupoteza maisha huku watu 290 hawafahamiki wapi walipo mpaka sasa na watu kadhaa wameokolowa na vikosi vya uokoaji vinavyoendelea kufanya kazi ya kuwaokoa waliozama.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment