PATA NAKALA YAKO KWA MKANALILE 0655259091 HII NDIO VIDEO YA MASHINDANO YA QUR'AN YALIYOFANYIKA MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO............KUTANA
NA MWANADADA ALIYEHIFADHI JUDHUU 30,ANASOMEWA AYA NA KUTAJA NI AYA YA
NGAPI NA SURA YAGAPI PASINA KUKOSEA,WANAFUNZI WA DARUL ARQAM NA JABAL
HIRA NAO WAFANYA VYEMA.WASHINDANI KUTOKA ZANZIBAR WAONYESHA
MAKUBWA,WENYEJI NAO WAWA KIIGIZO CHEMA KATIKA MASHINDANO......... MWISHO KABISA NI COMMENT YA MGENI RASMI MH:HAWA GHASIA KWA HAKIKA VIDEO HII SI YA KUKOSA
0 comments :
Post a Comment