-->

ASKARI POLISI WATANDA KWENYE VIWANJA VYA KIBANDA MAITI

NI TATU!

TANGANYIKA,
ZANZIBAR,
SHIRIKISHO.

Vijana wakiwalaki baadhi ya viongozi wa UKAWA kwenye uwanja wa KIBANDAMAITI leo jumamosi saa 5.15 asubuhi.

Viongozi wa UKAWA wametembelea viwanja hivyo na kujionea mamia ya polisi waliotanda kuzuia mkutano usifanyike.

Kuanzia saa 6.15 mchana huu Viongozi wako katika kikao cha FARAGHA na Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar.

Baada ya kikao hicho wataongea na vyombo vya habari saa 9.00 jioni.

Kuzuiwa kwa mkutano wa Zanzibar ni kitu cha muda tu, baadaye mikutano itafanyika kila kona ya nchi

BY JULIUS MTATIRO
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment