Jumuiya
ya Kiislamu ya Muzdalifat(Muzdalifat Islamic Charitable)wakishirikiana
na Taasisi ya I,H,H,kutoka uturuki,wakichuna mbuzi waliokwisha kuchinjwa
kwa ajili ya sadaka kwa Watoto yatima hafla iliofanyika huko Kisauni
nje ya Mji wa Zanzibar.
Wawakilishi
kutoka Taasisi ya I,H,H, ya Uturuki wakisalimiana na wanafunzi
chekechea wa Skuli ya Muzdalifat mara baada ya kushuka kwenye gari huko
Kisauni nje ya Mji wa Zanzibar.
Wawakilishi wa Taasisi ya I,H,H,kutoka Uturuki wakiendelea kugawa sadaka ya Vitu mbalimbali ikiwa pamoja na Unga wa Ngano,Mchele,Mafuta ya kupikia na Nyama kwa Watoto mayatima walio katika maeneo mbalimbali Zanzibar.(A.I)
0 comments :
Post a Comment