-->

MWIGULU NCHEMBA AWASILI SALAMA NCHINI MAREKANI TAYARI KUADHIMISHA SIKU KUU YA MUUNGANO KWA WATANZANIA WAISHIO HUKO

"Nimewasili Salama hapa Washington DC,Kesho nitaongoza Maadhimisho ya Miaka 50 ya Muungano wa Tanzania kwa Watanzania Wanaoishi hapa Marekani.
"Tuulinde,Tuudumishe na Tuutunze Muungano Wetu"
Mungu Ibariki Tanzania."Mwigulu Nchemba
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment