BASI LA HOOD LATEKETEA KWA MOTO Omari Makoo 12:09 AM matukio Edit Zaidi ya Abiria 55 waliokuwa ndani ya Basi la kampuni ya Hood, wakisafiri kutoka Mbeya kwenda Arusha walinusurika kufa baada ya Basi hilo kushika moto na kuteketea kabisa katika kijiji cha Kilolele-Chalinze Mkoani Pwani. Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus About Omari Makoo RELATED POSTS JE UNGEKUWA WEWE UNGEFANYA NINI???AJALI ZA BARABARANI ZAITAWALA TANZ...MOTO WATEKETEZA JENGO LILILOPO KATI...
0 comments :
Post a Comment