Taarifa kutoka kwa
Mwandishi mwenzangu wa habari Arusha inasema kitu kinachoaminika kuwa
bomu la mkono kimetupwa kwenye Bar ya Arusha night park Mianzini wakati
watu wakitazama mpira.
Watu wa maeneo ya karibu kama Soweto walisikia mlio mkubwa
ulioambatana na taarifa ambazo bado hazijathibitishwa kwamba vimetokea
vifo na wengine wamejeruhiwa kwa kukatika mikono na miguu.
CREDIT : MILLARD AYO
0 comments :
Post a Comment