-->

KISA CHENYE MAFUNZO(VOL 14)

KISA CHENYE MAFUNZO(VOL 14)
kijana mmoja alifungwa jela na kumuacha babu yake uraini ambae alikuwa anamtegemea sana katika shughuli za kilimo..ulipofika wakati wa kilimo babu alindika barua kwa mjukuu kwamba anashindwa kulianda shamba kwa kulima na anamtegemea yeye ingawaje yupo jela..barua ya babu ilijaa huzuni na manung'uniko...
Kijana akamjibu babu kwa barua usililime lile shamba kwani ndipo nilipoficha zile milioni 10 pamoja na silaha...kisha akampa askari ampelekee babu yake...kesho yake askari walikusanyana kwenye lile shamba na kuanza kulilima lima kutafuta pesa na silaha na kuambulia patupu...
Kijana yule kijana akamuandikia barua babu yake
"sasa babu unaweza panda maana tayari vibarua wangu washakulimia"
BABU AKAJIBU ASANTE MJUKUU WANGU TUKUTANE KWENYE PALIZI NA MAVUNO....
Dondosha mafunzo uliyoyapata hapa chini................
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment