-->

CHATU MKUBWA AUWAWA MAREKANI


Chatu mkubwa mwenye asili ya kiafrika aliuwa katika maeneo ya Florida na kijana wa Miami ambae inasemekana alivamiwa na chatu huyyo kwenye mguu kisha alipiga kelele za msaada na baade kutumia kisu kumshambulia chatu huyo mpaka kumuaa.Chatu huyo ni mrefu na wala hajawai kuonekana kwani anaurefu wa futi 18 kiasi kwamba hata watu watatu wakipima urefu kwa ulalo wanaonekana kuwa sawa.

Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment