Buyern munich wamechukua kombe la barani ulaya la vilabu linalofahamika kama Uefa kwa kumatandika mpinzani wao Borrusia Dortmund bao 2-1.Mabao ya Buyern munich yaliwekwa kinywani na Manduzk na Robben huku bao la Dortmund likiwekwa nyavuni na Gündogan ambalo lilkuwa goli lake la kwanza katika uefa na pia limekuwa goli la kwanza la kufungwa kupitia penati katika fainali za uefa toka lilipofungwa mara ya mwisho mwaka 2001.
-
Blogger Comment
-
Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment