-->

UONGO WA KULIPUKA KWA BOMU DAR MAENEO YA KUNDUCHI

Hpo jana zilivuma taarifa ya kwamba kuna bomu lilipuka jijini Da es salam maeneo ya kunduchi lakini ukweli wa mambo ni kwamba hakuna bomu lililopuka Dar es salaam bali ni uvumi ambao unavumishwa na watu wenye nia mbaya na Taifa letu.Badhi ya mitandao ya kijamii ilitumika kusambaza habari hizo pia hata blog kwa mfano eddymoblaze iliandika habari hiyo ambayo si ya kweli.
Hivyo ndugu wananchi pamoja na watumiaji wa blog au waandishi wa blogs...msiandike habri ambazo hamna uhakika nazo kwani hilo huenda likaleta madhara makubwa.

Taarifa hizo zimekanushwa vikali na Kamanda Kova kupitia jl.blogspot.com na kusema kwamba wao walikuwa wanashambuliana na majambazi na wala hakuna kanisa ambalo limelipuliwa.
Share on Google Plus

About Omari Makoo

    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments :

Post a Comment