RAPHAEL BENITEZ KOCHA BORA MWEZI APRIL
Raphael Benitez amekuwa kocha bora wa mwezi wa nne katika ligi kuu uingereza,tuzo kama hii kwa kocha wa Chelsea ilipatikana mwaka 2011 mwezi April na kocha Carlo Ancelot.
Ikumbukwe kwamba Raphael Benitez ni kocha wa muda na muda si mrefu atatua kocha mpya ambae inasadikika kuwa ni Jose Morinho.
Pia kocha wa manchester united Sir Alex Ferguson amempongeza kocha huyo kwa tuzo alioipata na kusema kwamba anastahiki
0 comments :
Post a Comment