Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk. Shukuru
Kawambwa (MB) leo ametangaza rasmi matokeo ya Mitihani ya Kidato cha
Nne, maarifa-QT.
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI
TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE (CSEE) ILIYOFANYIKA OKTOBA 2012
1.0 UTANGULIZI
MtihaniwaKidatochaNne, 2012ulifanyikanchinikotekuanziatarehe8/10-25/10/2012. Baraza la Mitihani la Tanzaniakatikakikaochakecha 94 kilichofanyikatarehe 30 Mei, 2013 liliidhinishamatokeo haya
2.0 USAJILI NA MAHUDHURIO
Jumlayavituo5,058vilitumikakatikakufanyamtihanihuoikilinganishwa na vituo4,795vilivyotumikamwaka 2011.
2.1 TaarifazaWatahiniwa
Jumlayawatahiniwa480,029 walisajiliwakufanyaMtihaniwaKidatochaNne 2012 wakiwemowasichana217,587sawa na asilimia45.33 na wavulana262,442sawa na asilimia54.67.WatahiniwawaliofanyamtihaniwaKidatochaNne 2012 ni 458,139sawa na asilimia95.44.Watahiniwa21,890 sawa na asilimia4.56yawatahiniwawotewaliosajiliwa, hawakufanyamtihani.
2.2 WatahiniwawaShule
Watahiniwawashulewaliosajiliwa ni 411,225 wakiwemowasichana182,982sawa na asilimia44.50 na wavulana228,243sawa na asilimia55.50.Watahiniwawashulewaliofanyamtihaniwalikuwa397,138sawa na asilimia96.57. Aidha, watahiniwa14,087sawa na asilimia3.43 hawakufanyamtihanikutokana na sababumbalimbalizikiwemoutoro, ugonjwa na vifo.
2.3 WatahiniwawaKujitegemea
Watahiniwawakujitegemeawaliosajiliwawalikuwa ni 68,804wakiwemowasichana34,605 sawa na asilimia50.30 na wavulana34,199sawa na asilimia49.70.Watahiniwa61,001 wakiwemowasichana 30,918 nawavulana 30,083 wamefanyamtihaniwakatiwatahiniwa7,803 sawa na asilimia 11.34 hawakufanyamtihani.
3.0 MATOKEO YA MTIHANI
3.1 Maandaliziyamatokeo
MatokeoyaMtihaniwaKidatochaNnemwaka 2012 yalitangazwatarehe 18
Februari 2013 na kufutwaMachi 2013 kutokana na
sababuzakitaalamukatikamatumiziyataratibuzakuchakatamatokeo.
MatokeoyaliyofutwayalikuwayamechakatwakwakutumiautaratibuwaFixed Grade
Ranges.
MatokeoyanayotangazwasasayamechakatwakwautaratibuhuohuolakiniyamefanyiwaStandalization.
Kimataifakunaainakuumbilizakuchakatamatokeoyamtihani : Flexible ‘Grade Ranges na Fixed Grade Ranges’.
‘Flexible Grade Ranges’
hutumiaviwangotofautikuchakatamatokeoyawatahiniwakwakuzingatiakiwangochaufauluchasomohusikakwakilamwaka.
Hivyoviwangovyakuchakatamatokeohubadilikakilamwakakulingana na
ufauluwawatahiniwakwakilasomohusika.
Katikamfumowa ‘Fixed Grade Ranges’
viwangovyaainamojahutumikakuchakatamatokeokwamasomoyote bila
kujalikiwangochakufaulukwasomohusika.
Viwangovyakuchakatamatokeohutumikahivyohivyokilamwaka bila mabadiliko.
KwamiakamingiBaraza la Mitihani la Tanzanialimekuwalikitumiamfumowa
‘Flexible Grade Ranges’. Mwaka 2012, mfumowa ‘Fixed Grade Ranges’
ulitumikakuchakatamatokeokwamaraya kwanza
Mabadilikohayoyalitokana na maoniyawadauyaliyotokana na
utafitiuliofanywa na Wizaramwaka 2010
kufuatiakushukakwaufauluwamtihaniwaKidatochaNnemwakahuo. Pia
kwakuzingatiamaelekezoyaTumemaalumiliyochunguzadosarizilizojitokezakwenyematokeoyamtihaniwaKidatocha
Sita mwaka 2012 katikasomo la IslamicKnowledge.
3.2 MatokeoyaWatahiniwawaShule
Jumlayawatahiniwawashule159,609katiyawatahiniwa397,138
waliofanyaMtihaniwaKidato cha Nne 2012 wamefaulu. Wasichanawalikuwani60,751nawavulanawalikuwani98,858.
3.3 MatokeoyaWatahiniwawaKujitegemea
Idadiyawatahiniwawakujitegemeawaliofaulumtihanini26,191 katiyawatahiniwa61,001 waliofanyamtihani. Wasichanawaliofauluni11,581nawavulanani14,910.
4.0 UBORA WA UFAULU KWA MADARAJA NA JINSI
Uborawaufaulukwakuangaliamadarajawaliyopatawatahiniwawashuleunaoneshakuwajumlayawatahiniwa35,349wamefaulukatikamadaraja I – III ambapokatiyaowasichanani10,924 nawavulanani24,425.
MchanganuowaufaulukwakiladarajakwajinsikwaWatahiniwawaShulemwaka 2012 nikamaifuatavyo:
0 comments :
Post a Comment